Khadja Nin - Walu Watu Songtext
Mbali ya ma inchi yote
Mbali ya Paris au Roma
Kuna watu masikini
Hawa liye hawa ombe
Wana itika tu vile
Wale watu wana imba
Ata kama wana lala njala
Njo vile... kila siku
Waca ile maneno ya bule
Usiji liliye hali yako
We haujuwe umasikini
Hangaliya wale watu
Hawa liye hawa ombe
Wale watu wana imba
Ata kama wana lala njala
Waca kabisa
Kuwaza kama weye
Haupashwe kujuwa
Mayisha yao
Juwa na siye
Siye mbali yao
Tuna weza kuwasayidiya
Kila siku
Falsches Video?
Dieses Video ist aktuell für den Songtext hinterlegt:
https://www.youtube.com/watch?v=757kCdTe35E
Falsch? Dann Trage hier den Link für das richtige Video von YouTube ein.
Was denkst du über "Walu Watu"?