Khadja Nin

Sina mali, sina deni Songtext / Lyric


Khadja Nin - Sina mali, sina deni Songtext


Ahiya, Ahiya
Kwa baraka
Mimi napona
Kabisa, ni hajabu
Sina mwili tena
Niko sawa upepo
Mimi masikini
Sina mali, sina deni
Mali yangu baba
Ina nyesha kama mvula
Ina ruka kama ndege
Ina ceka kama mutoto


Ahiya, mam'ahiya
Sina haja,ya kitu,
Napona
I'm free, kama maji
Ana tembeya mpaka kati ya pori
Mimi, mi masikini
Sina mali, sina deni
Mali yangu baba
Ina ota kama mauwa
Ina pita kama nyota
Ina waka kama juwa


Pole pole mama
Wakati wangu umefika, napona
I'm free, kama hewa
Ina ingiya mpaka fasi inapenda
Mimi, mi masikini
Sina mali, sina deni
Mali yangu baba
Ina ona kama maco
Ina waka kama mwoto


I'm free kama maji
Ana tempaka mpaka kati ya pori


Kama hewa, kama maco kama nyota
Kama mimi leo, mimi napona


I'm free, I'm free
Kama mimi leo, mimi napona


Ahiya Mam'ahiya
sina mali, Mungu, sina deni

Dieser Songtext wurde von www.Deine-Songtexte.com heruntergeladen :)

"Sina mali, sina deni" Video ansehen

Was denkst du über "Sina mali, sina deni"?