Khadja Nin

Simba Songtext / Lyric


Khadja Nin - Simba Songtext


"Watoto yangu
mimi mama yenu
sina nguvu tena
za ku uwa simba..."


ile macezo yote
mi na kumbuka
sinta sahabu
tuli kuwa
tuna ceza
kila siku nyumba
sisi watoto
mayisha ya watoto
ingali tu macezo
mpaka leo
ata jana niliona
ku njiya kule kwetu
wengine wangali
wana imba


"inamacikangalagaca
inamacikangalagaca
inamacikangalagaca
inamacikangalagaca"


simba ni makali
ili uwa baba
tuta kula nini
wali na sombe

Dieser Songtext wurde von www.Deine-Songtexte.com heruntergeladen :)

"Simba" Video ansehen