Khadja Nin - Sesiliya Songtext
tarehe makuni tatu na moja
ya mwaka juzi
umetuaca
ukaji endeya bila kusema
wuko wa, wuko wa, wuko
wapi
mwenyezi mungo atusayidiye
atupative nguvu
tuendeleye
mwaka unapita, hatuzoweleye
tunaliya, sesili, sesiliya
mimi na ikala cini mikono wazi
mimi najaribu kupokeya hali iy!
sesiliya dada unaliliwa...hoo!
watoto yako umetuaminisha
kweli tutajaribu
wote pamoja
kwa kila hali tusayidiyane
tuwale, tuwale, tuwaleye
mimi na ikala cini mikono wazi
mimi najaribu kupokeya hali iy!
sesiliya dada unaliliwa...hoo!
unaliliwa ye!
Falsches Video?
Dieses Video ist aktuell für den Songtext hinterlegt:
https://www.youtube.com/watch?v=St7MvxivFkM
Falsch? Dann Trage hier den Link für das richtige Video von YouTube ein.
Was denkst du über "Sesiliya"?