Khadja Nin - Sambolera Mayi Son Songtext
Duniya ile Sambolera
Oh ! wanayijifondeya
Duniya yetu Sambolera
Mbona wazimu... mayi
Watu wa duniya Sambolera
Oh ! wanajisondeka
Siyo wa mungu Sambolera
Oh ! ni watu... mayi
Watu wabaya Sambolera
Oh ! hawana uluma
Wanasema ji sema Sambolera
Duniya ni yao... mayi
Mungu akipenda Sambolera
Oh ! watagukumbuka
Wakupe njiya Sambolera
Oh ! ujaribu
Mbele ya mungu Sambolera
Oh ! watajibu aje ?
Watasema ju ya au ya mungu
Wameuwa corazon
Oh ! guerre ya mungu gani ?
Oh ! guerre ya rangi gani ?
Oh ! guerre rangi ya damu
Rangi ya damu
Rangi ni moja
Damu ni mingi Sambolera
Oh ! wanatesa watu
Ju mutu umoja Sambolera
Oh ! akitaka... mayi
Ni vita... son
Waca waseme Sambolera
Oh ! mayisha yako mbele
Watasema waseme Sambolera
Alakini corazon
Usitubiye
Ngoyela... son
Mayele
Oh ! Oh ! Oh !
Iye ! Iye ! Iye !
Ule wazimu usi wuogope...son
Falsches Video?
Dieses Video ist aktuell für den Songtext hinterlegt:
https://www.youtube.com/watch?v=3lpuMD_zJCY
Falsch? Dann Trage hier den Link für das richtige Video von YouTube ein.
Was denkst du über "Sambolera Mayi Son"?