Khadja Nin - Njala Songtext
Una hangaliya inje
una ona njala
watoto wana liya ... cakula
hawa juwe kama
una ji uliza
ata we mukubwa
mpaka gani?
kila siku njala
njala njala
baba mama dada
walisha kwenda
fasi yote njala
njala njala
baba mama dada
walisha kwenda
una hangaliya yulu
una omba mungu
"kosa gani tuli fwanya?" ...
hajibu
una hangaliya cini
shamba ili kimbiya
pamoja na mayi
kule mbali
Falsches Video?
Dieses Video ist aktuell für den Songtext hinterlegt:
https://www.youtube.com/watch?v=mKXeqpEGwCY
Falsch? Dann Trage hier den Link für das richtige Video von YouTube ein.
Was denkst du über "Njala"?