Khadja Nin - Mwana Wa Mama Songtext
We mwana wa mama
Tunapata haya
Mbele ya duniya wandugu
Kweli tumetubiya
Ju tumerudi ku uwana tena wandugu
Tabu ule utamwambiya nini ?
Damu ya wake umemwanga bule
Waca liya
Usiwa ace vile
Uwambiye
Wambiye inchi ni ya siye wote
Mungu akijaliya
Mbele yo duniya
Tutapata namna wandugu
Ata ukiumiya
Jaribu tena ju fitina hayisayidiye
Tabu ule utamwambiya nini ?
Ju ni damu ya wake umemwanga bule
Falsches Video?
Dieses Video ist aktuell für den Songtext hinterlegt:
https://www.youtube.com/watch?v=INmV-0RVm7I
Falsch? Dann Trage hier den Link für das richtige Video von YouTube ein.
Was denkst du über "Mwana Wa Mama"?