Khadja Nin - Mama Lusiya Songtext
Ni zamani sana mbele ya mbele
Amani ingali fasi yoyote
Ni zamani sana kama milele
Ni adisi yako wewe ma mkubwa nasikiya
Dunuya muzima wanaku ita wewe mama
We wuko wapi
We mama Lusiya
Wuko wapi ma Lusiya
We mama Lusiya
jaribu usayidiye
Ivi sasa ivi uje uone
Utakuta vita fasi yoyote
Siye watoto yako tumepoteya
Ukiweza mama uje utuoneshe njiya
Duniya muzima wanaku ita wewe mama
We wuko wapi
Falsches Video?
Dieses Video ist aktuell für den Songtext hinterlegt:
https://www.youtube.com/watch?v=mWtMKWtUlKY
Falsch? Dann Trage hier den Link für das richtige Video von YouTube ein.
Was denkst du über "Mama Lusiya"?