Khadja Nin - M'barik Fall Songtext
Kama haumujuwe
Kama hujamuona
Ni yeye M'barik Fall
Amekwenda peke yake
Mutoto akafika ulaya
Njo yeye M'barik fall
Ni sekele ni sekele ya ye
Ukapigana ukawina
Baba yo moko bwana M'barik Fall
Battling Siki
Ukapigana ukawina
Baba yo moko bwana M'barik Fall
Wakaku ita ugombane
Ukamupiga muzungu
Bila dawa M'barik Fall
Ahiyama ahiyele maye o
Ni sekele ni sekele ya ye
Falsches Video?
Dieses Video ist aktuell für den Songtext hinterlegt:
https://www.youtube.com/watch?v=9ftsQnFx3eU
Falsch? Dann Trage hier den Link für das richtige Video von YouTube ein.
Was denkst du über "M'barik Fall"?