Khadja Nin

Like An Angel Songtext / Lyric


Khadja Nin - Like An Angel Songtext


analiya disiwe
mume wake
ajali haina kinga
wala kafara


anaenda kijana
maladi inamushinda
ana aca bibi
na mutoto mudogo
mwanaume
analala kimya
like an angel


mbele ya kufunga maco
alimwambiya:
"bibi yangu unisamehe
ju sina mali
ya kukuaciya
mungu akulinde
like an angel"


mawa ju kijana ule
anaenda huruma
mawa oh ! maliyo !


sheria ya mungu mama
hayijulikane
ajali haina kinga
wala kafara :
"kwaheli
mpenzi wangu
wende salama
lala...like an angel
like an angel"

Dieser Songtext wurde von www.Deine-Songtexte.com heruntergeladen :)

"Like An Angel" Video ansehen

Was denkst du über "Like An Angel"?