Khadja Nin

Kembo Songtext / Lyric


Khadja Nin - Kembo Songtext


unaniaca unaenda tena
nabaki apa mimi peke yangu
watoto, watoto wanaliya
usiende...
kembo, kembo, kembo...


watoto wanaliya...wewe
"napashwa"
wandugu wanaliya...
ni wewe
"napashwa"
ata mama yako analiya
"napashwa"
mimi bibi yako naliya
usiende na sorrow
nitangoja...kembo.


"usiende na sorrow
tutangoja"


usiende na sorrow
tutangoja...kembo.


watoto wanaliya...hood !!!
"unapashwa"
wandugu wanaliya...hood !!!
"unapashwa"
ata mama yako analiya
"unapashwa"
mimi bibi yako naliya
usiende na sorrow
nitangoja...
kembo... kembo...kembo...

Dieser Songtext wurde von www.Deine-Songtexte.com heruntergeladen :)

"Kembo" Video ansehen