Khadja Nin

Embargo Songtext / Lyric


Khadja Nin - Embargo Songtext


leo nasaili
ju mimi sikuelewa mambo yale
unasema embargo
ni njiya ya kuleta amani kwangu
kwa vile naona
ni watu wanahangayika bure
unisamehe sana
ju mimi sione uzuri wake
bwana mukubwa
uje inazimiya
watu wanakufa na njala
wanatesera
inci inazimiya
inakosa dawa na cakula
ni amani gani
inaleta njala na maladi
bwana mukubwa
uje inazimiya
watu wanakufa na njala
wanatesera

Dieser Songtext wurde von www.Deine-Songtexte.com heruntergeladen :)

"Embargo" Video ansehen