Khadja Nin

Bwana C. Songtext / Lyric


Khadja Nin - Bwana C. Songtext


Mayisha yangu wewe

Aca niku imbiye

Ujuwe kama

Tangu nimeku ona

Nakupenda nakupenda wewe



Hakuna duniyani

Mapendo zayidi iyi

Najuwa kama

Hayi wezekane

Nakupenda nakupenda wewe






We bwana wa ungine

Sikuwa najuwa yangu

Mapendo ya vile

Kweli nime jaribu

Kukusahabu wewe bwana

Alakini mama ... siweze



Usini one mubaya

Sinta ku ingiliya

Mapendo yangu

Ita baki inje

Nakupenda nakupenda wewe



Aca niku imbiye



Mayisha yangu wewe

Waca niji imbiye

Ata kama wewe

Huweze nipenda

Nakupenda nakupenda ...

We Bwana C.

Wewe Bwana C.

Wewe Bwana C.

Wewe Bwana C.

Dieser Songtext wurde von www.Deine-Songtexte.com heruntergeladen :)

"Bwana C." Video ansehen