Khadja Nin - Ay Ay Ay Songtext
He hausikiye
he fwanya mbiyo
leo kuna raha
kule nyumbani
wana ku ngoja
weye aca tumika
juwa kuma
bibi yako baba
ali pata bebe
ile jembe tupa
kazi ina isha
tuta ceza mpaka kesho
cakula nyingi
hatuta lala leo
ji furahiye
na na na na ...
baba wata ku imbiya
na na na na ...
kuya ceza na wao
waca waca
ay ay ay ay
he hausikiye
wengine kule
leo wana imba
wana ceza
kila siku vile
watu wata kuya
hawata ikala
hawata coka
wataceza mpaka kesho
cakula nyingi
hatuta lala leo
ji furahiye
Falsches Video?
Dieses Video ist aktuell für den Songtext hinterlegt:
https://www.youtube.com/watch?v=CbEyklrr_28
Falsch? Dann Trage hier den Link für das richtige Video von YouTube ein.
Was denkst du über "Ay Ay Ay"?